إعدادات العرض
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
1- Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake ni yenye kufuata yale niliyokujua nayo
2- Hivi nikuelezeni madhambi makubwa?
4- Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza
6- , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo
10- Moto umezingirwa na yenyekutamanisha, na Pepo imezingirwa na yenyekuchukiza
11- Wakikutana waislamu wawili kwa mapanga yao, basi muuaji na muuliwaji wote motoni
12- Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi
14- Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilonuia
15- Hakika watu wanaotumia mali ya Mwenyezi Mungu pasina haki, hao (wana adhabu ya) moto siku ya Kiyama
18- Sikuacha baada yangu fitina yenye madhara zaidi kwa wanaume kuliko wanawake
19- Hawezi kua na imani mmoja wenu mpaka nipendeke kwake kuliko wazazi wake na mwanaye na watu wote
23- Mwenyezi Mungu alipoumba Pepo na Moto alimtuma Malaika Jibril -Amani iwe juu yake- aende peponi
27- “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma
43- Umma wangu wote unasamehewa isipokuwa wenye kutangaza wazi madhambi
44- Asife mmoja wenu isipokuwa afe katika hali ya kumdhania vizuri Mwenyezi Mungu
53- Kuwa duniani kama msafiri au mpitanjia
54- “Ewe mwanadam, maadamu unaniomba na kunitumainia, nitakusamehe uliyo nayo wala sitojali
61- Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake
62- Mauti yataletwa yakiwa kama dume la Kondoo mwenye rangi mchanganyiko ya weusi na weupe
63- Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam
65- Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka
69- Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
82- Ipe nyongo dunia Allah atakupenda ,na usivitolee macho vitu vya watu, watu watakupenda
