إعدادات العرض
Swala.
Swala.
2- Utakapomwambia mwenzako: Nyamaza, siku ya Ijumaa, na imamu akihutubu, basi utakuwa umefanya mchezo
3- Ewe Mwenyezi Mungu, usilifanye kaburi langu kuwa ni sanamu
7- Atakayeswali swala ya Asubuhi basi huyo yuko katika dhima ya Mwenyezi Mungu
9- Atakayeacha swala ya Lasiri basi yameporomoka matendo yake
10- Msikae juu ya makaburi, na wala msisali kwa kuyaelekea
11- Watu hao anapokufa kwao mja mwema, au mwanaume mwema, wanajenga juu ya kaburi lake mahala pakuabudia
12- Nimeamrishwa nisujudu kwa viungo saba
14- Allaahumma antas salaam waminkas salaam, tabaarakta yaa dhal-jalaali wal-ikraam
15- Swali ukiwa umesimama, usipoweza basi swali ukiwa umekaa, usipoweza basi ukiwa umelala ubavu
16- Je, wasikia wito wa swala?" Akasema: Naam, akasema: "Basi ujibu
18- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
22- Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo
23- Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
25- Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini
27- Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi
45- Aliulizwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake-: Ni swala ipi bora? Akasema: Ni kurefusha kisimamo
55- Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha kitabu (suratul faatiha)
80- na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
81- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema
84- Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa
86- Ewe Bilali, simamisha swala, tupe raha kwayo
87- Enyi watu! Bila shaka nimefanya hivi ili muige na mjifunze swala yangu
92- Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikua akisema mwishoni mwa kila swala ya faradhi