إعدادات العرض
Akida- Itikadi- - الصفحة 2
Akida- Itikadi- - الصفحة 2
1- Kafaulu ikiwa atakuwa mkweli
2- “Siku bora zaidi iliyochomozewa jua ni siku ya Ijumaa
19- “Ewe mwanadam, maadamu unaniomba na kunitumainia, nitakusamehe uliyo nayo wala sitojali
21- Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake mtafuata nyenendo za wale waliokuwa kabla yenu
24- kanipinga mwanadamu na hakustahiki kufanya hivyo, na amenitukana na hakustahiki kufanya hivyo
27- Je mnajua ni nani aliyefilisika?
30- Atakayetundika hirizi atakuwa kafanya ushirikina
34- Hawaingii Malaika nyumba ambayo ndani yake kuna mbwa au picha
35- Hawafuatani Malaika na jamaa ambao ndani yao kuna mbwa au kengele
36- Msiape kwa masanamu, wala kwa baba zenu
47- na hakika yeye hajawahi kusema hata siku moja: Ewe Mola wangu nisamehe makosa yangu siku ya Kiyama
53- Umekwisha pokea malipo yako kutokana na mema uliyoyatanguliza
57- Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake
61- Hakitosimama kiyama mpaka zama zikaribiane
66- Mauti yataletwa yakiwa kama dume la Kondoo mwenye rangi mchanganyiko ya weusi na weupe
67- Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam
70- Mwenyezi Mungu akimpangia mja afie sehemu fulani humfanya ahitajie kitu sehemu ile
71- na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
74- Uliteremshwa Wahyi kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akiwa na umri wa miaka arobaini
75- Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
77- Hivi yule aliyemfanya atembee kwa miguu miwili hawezi kumfanya atembee kwa uso wake siku ya Kiyama?
78- Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama
80- Nenda kwamwambie: Wewe si miongoni mwa watu wa motoni, bali ni katika watu wa peponi
81- Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
83- Andika, namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakitoki ndani yake ila haki
84- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema