إعدادات العرض
Akida- Itikadi-
Akida- Itikadi-
1- Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake ni yenye kufuata yale niliyokujua nayo
4- Ewe Mwenyezi Mungu, usilifanye kaburi langu kuwa ni sanamu
9- Atayeapa kinyume na Mwenyezi Mungu basi atakuwa amekufuru au kafanya ushirikina
19- , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo
21- Atakayekufa hali yakuwa anaomba kinyume na Mwenyezi Mungu mungu mwingine, ataingia motoni
22- Wameangamia wenye kufanya uzito katika mambo
25- Mwenye kutakiwa kheri na Allah, (Allah) humuonja kutokana na kheri hiyo
30- Atakayezua katika dini yetu hii, yale yasiyokuwemo, basi yatarejeshwa
33- Umma wangu wote wataingia peponi isipokuwa atakaye kataa
34- Atakaye jifananisha na watu fulani basi na yeye ni miongoni mwao
38- Hakika nyinyi mtamuona Mola wenu kama mnavyouona mwezi huu, hamtokingwa katika kumuona kwake
39- Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi
42- Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote hazitokubaliwa sala zake siku arobaini
46- Kusibaki katika shingo la mnyama bangili za shaba au kengele isipokuwa (ahakikishe) zimekatwa
54- Msikae juu ya makaburi, na wala msisali kwa kuyaelekea
55- Watu hao anapokufa kwao mja mwema, au mwanaume mwema, wanajenga juu ya kaburi lake mahala pakuabudia
56- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
66- Mwenyezi Mungu alipoumba Pepo na Moto alimtuma Malaika Jibril -Amani iwe juu yake- aende peponi
69- Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
71- Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu
72- La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu
77- Fanyeni haraka kufanya matendo kuna fitina nzito kama kipande cha usiku wa giza,
83- “Hakika mtafuata njia za walio kuwa kabla yenu, hatua kwa hatua, na dhiraa kwa dhiraa,
98- Nimepewa mambo matano ambavyo hakupewa mtu mwingine miongoni mwa Manabii kabla yangu
