إعدادات العرض
Fiq'hi na misingi yake.
Fiq'hi na misingi yake.
2- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
3- Acha yanayokutia shaka na uende katika yale yasiyokutia shaka
4- Hakika Mwenyezi Mungu amefaradhisha (kutenda) wema katika kila kitu
7- Haifai kujidhuru wala kumdhuru mwingine
12- Utakapomwambia mwenzako: Nyamaza, siku ya Ijumaa, na imamu akihutubu, basi utakuwa umefanya mchezo
14- Punguzeni sharubu na mfuge ndevu
16- Ewe Mwenyezi Mungu, usilifanye kaburi langu kuwa ni sanamu
18- Haikubali Mwenyezi Mungu swala ya mmoja wenu atakapotengukwa udhu mpaka atawadhe
19- Mswaki ni usafi wa kinywa, humridhisha Mola
21- Muunga udugu si mlipa fadhila, bali muunga udugu ni yule ambaye udugu wake ukikatwa anauunga
25- Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi
26- Hakika Mwenyezi Mungu amewajibisha (kufanya) wema katika kila kitu
29- Hakuacha Jibrili kuniusia kuhusu jirani, mpaka nikadhania kuwa atamrithisha
30- Hakika makombe, na hirizi, na limbwata, ni ushirikina
31- Msiwatukane wafu, kwani wao tayari wameyapata yale waliyoyatanguliza
32- Atakayeswali swala ya Asubuhi basi huyo yuko katika dhima ya Mwenyezi Mungu
35- Dunia ni starehe, na starehe yake bora ni mke mwema
36- Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Toa ewe mwanadamu na mimi nikupe
37- Sharti zenye haki zaidi kwenu nyinyi kuzitekeleza ni zile mlizohalalishia tupu
40- Atakayeacha swala ya Lasiri basi yameporomoka matendo yake
42- Atakapotoa matumizi mtu kwa familia yake kwa kutaraji malipo, basi hiyo kwake ni sadaka
43- Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku
45- Msikae juu ya makaburi, na wala msisali kwa kuyaelekea
46- Watu hao anapokufa kwao mja mwema, au mwanaume mwema, wanajenga juu ya kaburi lake mahala pakuabudia
47- Nimeamrishwa nisujudu kwa viungo saba
49- Allaahumma antas salaam waminkas salaam, tabaarakta yaa dhal-jalaali wal-ikraam
50- Swali ukiwa umesimama, usipoweza basi swali ukiwa umekaa, usipoweza basi ukiwa umelala ubavu
51- Je, wasikia wito wa swala?" Akasema: Naam, akasema: "Basi ujibu
53- Alitufundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- hotuba ya dharura (Haja)
54- Hakuna ndoa ila kuwe na walii (Msimamizi)
57- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
60- Ole wao (wasiofikisha maji katika) visigino (watakua na adhabu ya) moto, enezeni maji ya udhu
62- Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo
63- Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
70- La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu
71- “Mwenye kupigana ili neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo yuko katika Njia ya Mwenyezi Mungu
73- Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini
74- Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
76- Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala
79- Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi
80- Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
84- “Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.”
94- Atakapokunywa mbwa katika chombo cha mmoja wenu basi akioshe mara saba
