إعدادات العرض
Akida- Itikadi-
Akida- Itikadi-
1- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
2- Hakika mmoja wenu hukusanywa umbile lake ndani ya tumbo la mama yake siku arobaini
11- Hakika Mwenyezi Mungu aliandika mema na maovu, kisha akalibainisha hilo
13- Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake ni yenye kufuata yale niliyokujua nayo
17- Ewe Mwenyezi Mungu, usilifanye kaburi langu kuwa ni sanamu
22- Atayeapa kinyume na Mwenyezi Mungu basi atakuwa amekufuru au kafanya ushirikina
32- , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo
34- Atakayekufa hali yakuwa anaomba kinyume na Mwenyezi Mungu mungu mwingine, ataingia motoni
35- Wameangamia wenye kufanya uzito katika mambo
38- Mwenye kutakiwa kheri na Allah, (Allah) humuonja kutokana na kheri hiyo
43- Atakayezua katika dini yetu hii, yale yasiyokuwemo, basi yatarejeshwa
46- Umma wangu wote wataingia peponi isipokuwa atakaye kataa
47- Atakaye jifananisha na watu fulani basi na yeye ni miongoni mwao
51- Hakika nyinyi mtamuona Mola wenu kama mnavyouona mwezi huu, hamtokingwa katika kumuona kwake
52- Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi
55- Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote hazitokubaliwa sala zake siku arobaini
59- Kusibaki katika shingo la mnyama bangili za shaba au kengele isipokuwa (ahakikishe) zimekatwa
67- Msikae juu ya makaburi, na wala msisali kwa kuyaelekea
68- Watu hao anapokufa kwao mja mwema, au mwanaume mwema, wanajenga juu ya kaburi lake mahala pakuabudia
69- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
79- Mwenyezi Mungu alipoumba Pepo na Moto alimtuma Malaika Jibril -Amani iwe juu yake- aende peponi
82- Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
84- Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu
85- La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu
90- Fanyeni haraka kufanya matendo kuna fitina nzito kama kipande cha usiku wa giza,
96- “Hakika mtafuata njia za walio kuwa kabla yenu, hatua kwa hatua, na dhiraa kwa dhiraa,
