إعدادات العرض
Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
1- Hivi nikuelezeni madhambi makubwa?
2- Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda
5- Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza
8- , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo
11- Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni: Al-hamdulillah
15- Moto umezingirwa na yenyekutamanisha, na Pepo imezingirwa na yenyekuchukiza
17- Allah amhurumie mtu ambaye ni mpole anapouza, na anaponunua, na anapo dai deni
20- Mche Mwenyezi Mungu popote ulipo, na ovu lifuatishe jema litalifuta, na ishi na watu kwa tabia njema
21- Wakikutana waislamu wawili kwa mapanga yao, basi muuaji na muuliwaji wote motoni
22- Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi
23- Hakika Mwenyezi Mungu amewajibisha (kufanya) wema katika kila kitu
25- Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilonuia
26- Usikasirike
28- Mja alifanya dhambi akasema: Ee Mola wangu nisamehe dhambi yangu
30- Mwenye kunyimwa upole basi kanyimwa kheri yote
32- Hakika watu wanaotumia mali ya Mwenyezi Mungu pasina haki, hao (wana adhabu ya) moto siku ya Kiyama
33- Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno
36- Kamwe!, Usidharau chochote katika wema, hata kama ni kukutana na ndugu ukiwa na uso mkunjufu
38- Atakayeelekeza katika jambo la kheri basi atapata malipo mfano wa malipo ya mfanyaji wake
39- Msiwatukane wafu, kwani wao tayari wameyapata yale waliyoyatanguliza
41- Haingii peponi mkata udugu
42- Haingii peponi mfitinishaji
43- Atakayependa kukunjuliwa katika riziki yake, na acheleweshewe ajali yake, basi na aunge udugu wake
44- Palipo karibu zaidi kwa mja na Mola wake ni pale anapokuwa kasujudu,Basi zidisheni dua
45- Mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho basi na aseme la kheri au anyamaze
46- Asiyewahurumia watu naye Mwenyezi Mungu Mtukufu hamhurumii
47- Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi
51- Dua ndio ibada
54- Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuliko dua
55- Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu ataukinga uso wake na moto siku ya Kiyama
58- Mwenye kutakiwa kheri na Allah humpa ufahamu katika dini
59- Hakika Mwenyezi Mungu humpenda mja mchamungu, mwenye kutosheka, mnyenyekevu
60- Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi
62- Hakika upole hauwi ndani ya kitu isipokuwa hukipendezesha, na hautolewi ndani ya kitu ila hukichafua
64- Hakika muumini hufikia kwa sababu ya tabia zake njema daraja ya mfungaji mwenye kusimama usiku
65- Hakika katika wabora wenu ni mtu mwenye tabia njema kuliko wote
66- Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi
67- Sikuacha baada yangu fitina yenye madhara zaidi kwa wanaume kuliko wanawake
70- Hawezi kua na imani mmoja wenu mpaka nipendeke kwake kuliko wazazi wake na mwanaye na watu wote
72- Atakayesoma aya mbili za mwisho wa suratul Baqara zitamtosheleza
76- Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku
77- Tulikuwa kwa Omari akasema: "Tumekatazwa kujilazimisha
79- Ewe kijana, mtaje Mwenyezi Mungu, na kula kwa mkono wako wa kulia, na kula kile kinachokuelekea
86- Mwenyezi Mungu alipoumba Pepo na Moto alimtuma Malaika Jibril -Amani iwe juu yake- aende peponi
92- Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera
95- Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
